Friday 15 January 2016

NFL: ST LOUIS RAMS YAHAMIA LOS ANGELES



Timu ya NFL ya St. Louis Rams inahamia Los Angeles al-maarufu kama LA...Mmiliki wa St. Louis Rams ambae pia ni mmiliki wa Arsenal FC, Stan Kroenke, amesema uamuzi huo ni uamuzi mchungu na mtamu na juhudi za kuamisha hiyo timu ilikuwa ngumu sana...Walikaa wamiliki na kupiga kura na matokeo yalikuwa 30-2...Rams sasa inabidi walipe £311 milioni pesa ya kuhamisha timu ambayo inaaenda NFL...Sio kila mtu amefurahia kuhama kwa timu hasa mashabiki ambao walishuhudia Rams kuchukua kombe la Super Bowl mwaka 1999...Pia Governor wa Missouri Jay Nixon hajafurahishwa na kuhama kwa timu hiyo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment