Sunday 17 January 2016

RALLY: TANGA KUFUNGUA MSIMU WA RALLY TANZANIA


Tanga itafungulia milango msimu wa mashindano ya  National Rally Championship ambayo yataanza tarehe 14 February...Tayari club 6 nchini zimejitokeza tayari kwa msimu wa rally...Rais wa chama cha magari nchini, Nizar Jivani, amesema mwaka huu mashindano ya awali yatafanyika kaskazini wakianzai Tanga na baada ya mwezi Kilimanjaro...



Mashindano ya Tanga yameandaliwa na Tanga Motor Sports Club (TMC) ambayo yanategemea zaidi ya washiriki 20...Mwana kamati, Awadh Bafadhil, amesema mashindano yatakuwa ya siku 1 na yatahusisha maeneo ya Tanga mjiji, Pangani na Muheza...


Mabingwa wa rally kutoka Dar es Salaam Dharam na Sanjev Pandya watatetea ubingwa wao na tarayi wameanza kujifua...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment