Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Tanga. Show all posts
Showing posts with label Tanga. Show all posts
Monday, 19 May 2025
Monday, 18 November 2024
Friday, 19 July 2024
Sunday, 30 June 2024
Sunday, 24 September 2023
Friday, 25 August 2023
Monday, 14 August 2023
Saturday, 5 November 2022
Wednesday, 7 September 2022
Monday, 5 September 2022
Friday, 8 April 2022
Monday, 17 January 2022
Saturday, 13 November 2021
Wednesday, 26 May 2021
Sunday, 27 September 2020
Tuesday, 15 September 2020
Tuesday, 3 March 2020
Sunday, 17 January 2016
RALLY: TANGA KUFUNGUA MSIMU WA RALLY TANZANIA
Tanga itafungulia milango msimu wa mashindano ya National Rally Championship ambayo yataanza tarehe 14 February...Tayari club 6 nchini zimejitokeza tayari kwa msimu wa rally...Rais wa chama cha magari nchini, Nizar Jivani, amesema mwaka huu mashindano ya awali yatafanyika kaskazini wakianzai Tanga na baada ya mwezi Kilimanjaro...
Mashindano ya Tanga yameandaliwa na Tanga Motor Sports Club (TMC) ambayo yanategemea zaidi ya washiriki 20...Mwana kamati, Awadh Bafadhil, amesema mashindano yatakuwa ya siku 1 na yatahusisha maeneo ya Tanga mjiji, Pangani na Muheza...
Mabingwa wa rally kutoka Dar es Salaam Dharam na Sanjev Pandya watatetea ubingwa wao na tarayi wameanza kujifua...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)















