Saturday 16 January 2016

EPL: CHELSEA YAPONEA TUNDU LA SINDANO


Chelsea nusura ichapwe na Everton muda mfupi uliopita...Goli la kusawazisha la Terry lilikuwa la utata lakini wamefanikiwa kuambulia point 1...Game iliongezwa muda sana na kufika dakika 98...Kwa ujumla wa game ya leo ilikuwa kali sana na timu zote zilijitahidi...Makosa mengi yalikuwa ya mabeki pia...Wageni ndio walioanza kutikisa nyavu baada ya Terry kijifunga...


Everton wenyewe walichemsha kulinda goli baada ya kuwa wanaongoza 2-0...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment