Wednesday 13 January 2016

ARSENAL: MOHAMED ELNENY KARIBU ANAINGIA EMIRATES



Midfielder hatari kutoka Egypt na anayechezea timu ya FC Basel ya Uswiss, Mohamed Elneny, yuko mbioni kutia timu Emirates...Mambo yakienda vizuri anaweza kucheza kwa mara ya kwanza Jumapili dhidi ya Stoke City...Anategemea kusaini mkataba wa miaka 4...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment