Tuesday 12 January 2016

FIFA: MESSI ACHUKUA BALLON D'OR



Lionel Messi amekuwa mwanasoka bora duniani....Messi alimpita Ronaldo na kushinda ballon d'or kwa kura nyingi...Messi alikabi zawadi yake na Issa Hayatou rais wa muda wa Fifa na mchezaji maarufu Kaka...Kwa upande wa wanawake midfielder Carli Lloyd alishinda na upande wa makocha kocha mwanamke wa timu ya Marekani Jill Ellis...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment