Friday 22 January 2016

BASKETBALL: TIMU ZA MALAWI KUCHUANA NA TIMU ZA BONGO WEEKEND



Bball Kitaa inawaletea tena uhondo wa basketball jijini Bongo wakati Malawi wakijiandaa kuchuana na mafundi wa bball hapa twn...Malawi wataingia na timu 2 kali ambazo zitachuana na timu zetu 2 za bongo...Timu za Malawi ni Bricks na Reject na timu za bongo ni Eastern Zone 3 na Western Zone 3...Mechi zitafanyika weekend hii na hakikisha usikose kupata basketball kitaa ya hatari!...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment