Showing posts with label Bball Kitaa. Show all posts
Showing posts with label Bball Kitaa. Show all posts

Friday, 30 June 2017

BBALL KITAA: GAME OF ZONES 2017


Kama ni utitiri wa SNIPERS kutoka mbali aka 3pt specialists basi hapa ndio nyumbani...

Kama ni lumbesa la mabig wenye uwezo wa kusumbua kwenye paint basi hii timu ndio yenyewe! WEST ZONE 3 sio watu wa SPORTS SPORTS!!

Wako ready KULIAMSHA DUDE kwenye kuusaka ubingwa Wa #GameOfZones2017 Vipi, uko tayari KULIAMSHA DUDE pamoja na WEST ZONE 3????

#basketball #tanzania #darhotsalaam #iamBBK #bballkitaa #GameOfZones #bbkpark #MoreThanAhangOut #GameOfZones2017 #westzone3 #Kinondoni #HOOPS
@bballkitaa @tv1_hoops @tv1tanzania

Sunday, 4 June 2017

BBALL KITAA: GAME OF ZONES 2017


TUNATOA KIKI  BILA  USHURU!! #GameOfZones2017 wakali  wa  hizi  kazi  @bballkitaa  are back! Stay tuned!  #ImitatedButNeverDuplicated 😎 #UkicopyNaKupasteUtaumia

Unamjua  huyo  mwana  kwenye  picha  hapo  juu?

Friday, 22 January 2016

BASKETBALL: TIMU ZA MALAWI KUCHUANA NA TIMU ZA BONGO WEEKEND



Bball Kitaa inawaletea tena uhondo wa basketball jijini Bongo wakati Malawi wakijiandaa kuchuana na mafundi wa bball hapa twn...Malawi wataingia na timu 2 kali ambazo zitachuana na timu zetu 2 za bongo...Timu za Malawi ni Bricks na Reject na timu za bongo ni Eastern Zone 3 na Western Zone 3...Mechi zitafanyika weekend hii na hakikisha usikose kupata basketball kitaa ya hatari!...Bofya hapa upate habari zaidi.

Friday, 25 September 2015

BASKETBALL: BBALL KITAA YAWAKARIBISHA MALAWI



Bball Kitaa wameandaa mechi 2 kali sana kwa kuwaalika wamalawi kuja kucheza na timu zetu za bongo...Team ya Malawi inaitwa Reject Basketball Club itachuana kesho na Mbezi Beach Club (Western Zone One) kwenye Bball Kitaa park karibu na Gymkhana Club na Jumapili watachuana na Jogoo...Coordinator wa Bball Kitaa, Lawrence Karabani, amesema watu wajitokeze kwa wingi kushuhudia mechi hizo kali kwani Reject ni kati ya timu kali sana huko Malawi...Bofya hapa upate hanari zaidi.