Friday, 30 June 2017

BBALL KITAA: GAME OF ZONES 2017


Kama ni utitiri wa SNIPERS kutoka mbali aka 3pt specialists basi hapa ndio nyumbani...

Kama ni lumbesa la mabig wenye uwezo wa kusumbua kwenye paint basi hii timu ndio yenyewe! WEST ZONE 3 sio watu wa SPORTS SPORTS!!

Wako ready KULIAMSHA DUDE kwenye kuusaka ubingwa Wa #GameOfZones2017 Vipi, uko tayari KULIAMSHA DUDE pamoja na WEST ZONE 3????

#basketball #tanzania #darhotsalaam #iamBBK #bballkitaa #GameOfZones #bbkpark #MoreThanAhangOut #GameOfZones2017 #westzone3 #Kinondoni #HOOPS
@bballkitaa @tv1_hoops @tv1tanzania