Monday, 26 June 2017

SIMBA SPORTS CLUB: EMMANUEL OKWI ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI MSIMBAZI


Emmanuel Okwi amesaini mkatab wa miaka miwili na wana wa Msimbazi Simba akitokea Sports Club Villa ya Uganda...
Hii ni mra ya 3 Okwi anaingia Mzimbazi...

Kwenye salamu za Eid kutoka kwa mfadhili mkubwa wa Simba Mohammed 'MO' Dewji amesema amefanikisha kumleta tena Okwi kama zawadi kutoka kwake kwenda kwa mashabiki na wanachama wa Simba...

Makamu Rais wa Simba Goeffrey 'Kaburu' Nyange alitia saini pamoja na Okwi jumapili...

Okwi alitia timu ndani ya Msimbazi kwa mara ya kwanza 2010 akitokea Sports club Villa huko Uganda...Alikaa Msiimbazi mpaka 2013 hadi Etoil Du Sahel walipomchukua kwa dau la $300,000.