Wednesday 20 January 2016

CHELSEA: ALEXANDRE PATO MBIONI KUINGIA CHELSEA



Striker Alexandre Pato kutoka Brazil na pia ni forward wa timu ya Brazil yuko mbioni kuingia darajani baada ya kupewa ofa ya miaka 3 na Chelsea...Pato na watu wake walikutana na mmiliki wa Chelsea Roman Abramovic na mtaalam wa transfer Marina Granovskia Jumanne usiku...Chelsea wako tayari kupiga dili la bei poa na club ya Pato ya Corinthians...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment