Friday 8 January 2016

CAF: MBWANA ALY SAMATTA MWANASOKA BORA AFRIKA



Striker hatari wa TP Mazembe, Mbwana Aly Samatta, ameshinda tuzo ya mwanasoka bora Afrika kwa wachezaji wa Afrika...Samatta ni mtanzania ambae alikuwa akichezea Simba SC ameibuka mshindi wa tuzo hiyo kwa mara ya kwanza na pia ni mara ya kwanza mchezaji kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo hiyo...


Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon ameibuka mchezaji bora wa Afrika kwa wanaochezea timu za nje...Hongera sana Samatta na Aubameyang kwa kushinda tuzo hizo kubwa Afrika...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment