Thursday 21 January 2016

NFL: BUFFALO BILLS YAWEKA HISTORIA NFL KWA KUCHAGUA KOCHA WA KIKE



NFL (National Football League) kwa mara ya kwanza imepata kocha wa kika kwenye timu ya Buffalo Bills.


Kathryn Smith ametajwa kuwa kocha kamili anayesimamia 'quality control-special teams'.

Kathryn amefanya kazi kwenye ngazi ya uongozi wa timu kubwa kama Jets na Bills.

Sasa mambo ya jinsia kwenye NFL yameanza kubadilika na tunatarajia timu nyingine zitafuata nyayo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment