Sunday 24 January 2016

CHAN 2016: ZAMBIA YAFUZU KUINGIA ROBO FAINALI



Zambia imefuzu kuingia  robo fainali ya African Nations Championship (CHAN) baada ya kuichapa Uganda 1-0 katika Goup D...


Zambia kupitia captain wao Christopher Katongo anayechezea timu ya Green Buffalo's alipata bao kabla tu ya mapumziko wanaongoza kundi hilo wakiwa na points 6.

Zambia wamefuzu kuingia 8 bora pamoja na DRC Congo na Rwanda...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment