Saturday 26 March 2016

CHELSEA: KIPA WA CHELSEA HASEMI KAMA ATABAKI AU LA


Thibaut Courtois amesema hajui kama atasaini mkataba mpya darajani...Kipa huyo mwenye umri wa miaka 23 yuko kwenye mechi za kikataifa na timu yake ya Ubelgiji...Ubelgiji watacheza na Portugal Jumanne na mechi itafanyika Leira baada masuala ya kigaidi kutokea Ubelgiji na kuua watu wengi... Baada ya Chelsea kutofanya vizuri msimu huu amekubali kuwa imembadilisha huku Real Madrid wakimnyemelea huyu dogo...Courtois alikuwa mchezaji wa zamani wa Genk timu ya Mbwana Samatta...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment