Showing posts with label Genk. Show all posts
Showing posts with label Genk. Show all posts

Friday, 17 January 2020

Thursday, 2 June 2016

TAIFA STARS: CAPTAIN SAMATTA RETURNS HOME READY TO FACE EGYPT


Captain wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta ameingia jana nchini akitokea Belgium tayari kwa mechi muhimu sana ya kufuzu AFCON 2017...Mechi ya Taifa Stars na Egypt ni muhimu sana kwani toka 1980 hatujaingia fainali za African Cup of Nations na mwaka huu zitafanyika nchini Gabon...Captain Samatta amesema mechi haitokuwa rahisi kwani Egypt wako fiti balaa...Tuiombeetimu yetu iweze kufuzu AFCON 2017...Bofya hapa upate habari zaidi.                                                                                                                                                                                                                                                         

Saturday, 26 March 2016

CHELSEA: KIPA WA CHELSEA HASEMI KAMA ATABAKI AU LA


Thibaut Courtois amesema hajui kama atasaini mkataba mpya darajani...Kipa huyo mwenye umri wa miaka 23 yuko kwenye mechi za kikataifa na timu yake ya Ubelgiji...Ubelgiji watacheza na Portugal Jumanne na mechi itafanyika Leira baada masuala ya kigaidi kutokea Ubelgiji na kuua watu wengi... Baada ya Chelsea kutofanya vizuri msimu huu amekubali kuwa imembadilisha huku Real Madrid wakimnyemelea huyu dogo...Courtois alikuwa mchezaji wa zamani wa Genk timu ya Mbwana Samatta...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday, 30 January 2016

K.R.C. GENK: MBWANA SAMATTA AINGIA RASMI GENK



Mbwana Samatta amesajiliwa rasmi na timu ya K.R.C. Genk ambayo iko nafasi ya 6 sasa kwenye Belgian Pro League...Samatta ni mwanasoka bora Afrika na Tanzania tunajivunia kuwa na kifaa kikali sana...Samatta ametokea timu ya TP Mazembe na huko alikuwa mchezaji bora...Amewahi kuichezea Simba hapo nyuma...Kila la heri Mbwana Samatta katika maisha ya soka Ulaya...Bofya hapa upate habari zaidi.