Friday 17 January 2020

SAFARI YA MBWANA SAMATTA KUELEKEA PREMIER LEAGUE IMEIVA


Genk na Aston Villa wapo kwenye maoengezi ya juu kuhusu sticker hatari sana kutoka Tanzania Mbwana Samatta...

Aston Villa wanahitaji ma-striker ili waweze kukabiliana na changamoto zilizowakumba ndani ya premier league. 

Kwa sasa Aston Villa hawana striker kutokana na striker wao tegemezi kuwa majeruhi na wanatafuta striker kwa udi na uvumba.

Striker wanaomtaka sana ni yule nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Samatta. 

Samatta ameifungia Genk mabao 43 katika ya mechi 98. 

Kuna kipengele kwenye mkataba wake cha takriban pauni million 10 za Uingereza kwa timu yoyote inayomtaka Samatta. 

Kwa mujibu wa Sky Sports muda si mrefu Aston Villa wanafunga dili la Samatta.

No comments:

Post a Comment