Wednesday 16 March 2016

F1: LEWIS HAMILTON ACHUNGUZWA


Bingwa wa dunia kwenye mashindano ya magari ya Formula One, Lewis Hamilton, anachunguzwa na polisi...Hamilton anachunguzwa kwa kupiga selfie au kwa jina lingine la kitaa ekotitee akiwa anaendesha pikipiki huko New Zealand...Polisi wamesema hawatamchukulia hatua kutokana na kukosa ushahdi wa kutosha ingawa ni kosa kwa mtu kutumia simu wakati anaendesha chombo cha moto...



Hamilton atakuwa anatetea taji lake wakati msimu unaanza Jumapili ijayo nchini Australia...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment