Friday 18 March 2016

BREAKING NEWS: UEFA YAWASHTAKI LIVERPOOL NA MANCHESTER UNITED


UEFA wameamua kuwashtaki Liverpool na Manchester United kutokana na ugomvi wa mashabiki uwanjani...Mashabiki walichapana makonde na kutupiana viti huku wakiwasha flares ndani ya Old Trafford...Watu watano wameshatiwa mbaroni kwa kufanya fujo uwanjani...Mechi kati yao ilikuwa ya Europa au Uefa ndogo kwa lugha ya kitaa ya mzunguko wa 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment