Friday 1 April 2016

MIAMI OPEN: NICK KYRGIOS AINGIA NUSU FAINALI KWA MARA YA KWANZA


Nick anayetoka Australia amefanikiwa kufunga namba 12 duniani Milos Raonic na kuingia nusu fainali ya michuano mikali ya Miami Open Masters...Nick sasa ameweza kuwa namba 20 kwa ukali wa tennis duniani...Alishinda mechi kwa score ya 6-4 7-6 (7-4) na sasa watakutana na Kei Nishikori kutoka Japan...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment