Friday 8 April 2016

LIVERPOOL F.C.: LIVERPOOL NA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND HOI BAADA YA JORDAN HENDERSEN KUUMIA


Jordan Henderson aliumia katika game dhidi ya Dortmund ambayo Origi alisaidia kuwapatia bao Liverpool na mwisho wa game wakatoka 1-1...


Kuumia kwa Henderson ni pigo kwa Liverpool na timu ya taifa ya England kwani wanamtegemea sana hasa kipindi hichi cha mwishoni.

Leo Henderson yuko hospitali akifanyiwa uchunguzi zaidi wa goti na badae itajulikana atakuwa nje muda gani.



England karibu wanaanza michuano ya Euro na Henderson ni mchezaji ambae kocha wa timu ya England Roy Hodgson anamtegemea sana...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment