Wednesday 20 April 2016

AZAM FC: AZAM NJE KOMBE LA SHIRIKISHO


Esperance ya Tunisia wamefanikiwa kuwatoa Azam FC baada ya kuwachapa 3-0 kwenye uwanja wa Olympique de Rades...Kipa Aishi Manula anastahili pongezi kwani mashambulizi yalizidi na bila kipa kuwa makini mabao yangekuwa mengi...Mechi ya awali Azam walikuwa na ushindi wa 2-0 lakini walishindwa kufunga bao na sasa inabidi wahamishie hasira zao kwenye ligi ya nyumbani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment