Wednesday 13 April 2016

CHAMPIONS LEAGUE 2016: RONALDO AIOKOA REAL MADRID


Cristiano Ronaldo ameiokoa Real Madrid kwa kuivusha kwani walikuwa nyuma mechi ya awali na akafanikiwa kupachika mabao 3 au hat-trick jana...Real Madrid walifanikiwa kuvuka kwa aggregate ya 3-2 kutokana na matokeo ya 3-0...


Madrid waliweza ball control vipindi vyote na pasi za uhakika wakati Woolfsbug wakichemsha hasa defense...


Pia hawakuwa na ari ya kusukuma mpira kama mechi ya awamu ya 1...Ronaldo sasa kwa ujumla ana mabao 460 na bado ana nafasi ya kuendelea kupata mabao lukuki...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment