Monday 18 April 2016

F1: HAMILTON ASEMA HAKUNA TENA BAHATI MBAYA


Lewis Hamilton amesema hakuna tena bahati mbaya kama atapambana na kupita mwenzake Nico Roseberg...Toma msimu uanze Hamilton amepata bahati mbaya nyingi na zimefanya awe nyuma ya Roseberg kwa points 36...Chinese GP Lewis limaliza wa 7 na hapo alipambana kweli wakati mwenzake alishinda kirahisi...Lewis alipewa penalty kwa kubadilisha engine...Engine yake ilisumbua na pia ilikuwa haina nguvu hasa wakati wa kuanza shindano...


Katika historia ya Formula One madereva wachache wameshinda GP kwa kushinda mashindano matatu ya awali nao ni Ayrton Senna, Juan Manuel Fangio, Alberto Ascari, Damon Hill, Nigel Mansel na Michael Schumacher...Bofya hapa upate habari zaidi. 

No comments:

Post a Comment