Saturday 2 April 2016

EPL: ARSENAL YAIZAMISHA WATFORD 4-0


Arsenal F.C wametoka kuwachapa Watford 4-0 hivi punde tu...Arsenal walikuwa kwenye form nzuri na walimiliki mpira muda mrefu pamoja na pasi za uhakika nyingi...Manabo yalitoka kwa Sanchez mapema dakika ya 4, Iwobi dogo kutoka Nigeria ambae aliingia academy akiwa na miaka 9 alifunga dakika ya 38, Bellerin nae alipachika bao dakika ya 48 na substitute Theo Walcott alifunga dakika ya 90...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment