Wednesday 13 April 2016

CHAMPIONS LEAGUE 2016: KEVIN DE BRUYNE AIPELEKA MAN CITY NUSU FAINALI KWA MARA YA KWANZA


Manchester City inaingia nusu fainali ya Champions League kwa mara ya kwanza kabisa kwa kumtoa PSG kwa aggregate ya 3-2...Watu wawili wakushukuru ni Joe Hart na Kevin De Bruyne...Hart alipangua mikwaju hatari mitatu na kuwalinda City mpaka Kevin De Bruyne alipopachika bao mnamo dakika ya 76....Umati wa watu 53,039 walishangilia sana bao lilipoingia na pia mwisho wa mchezo kwani ni historia kubwa  katika club hiyo ya Man City...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment