Wednesday 27 April 2016

DELE ALLI: DOGO WA TOTTENHAM DELE ALLI APATIKANA NA HATIA YA KUMPIGA MCHEZAJI UWANJANI


Football Association (FA) wamesema midfielder wa Tottenham Dele Alli amepatikana na hatia ya kumpiga ngumi mchezaji wa West Brom na hata refa hakuona tukio.



Alli anaweza kukosa mechi zote zilizobakia msimu huu.

Kamera za uwanjani zilionyesha Alli akitwanga ngumi Claudio Yacub wa West Brom kwenye mechi waliotoka sare Jumatatu.

Katika kosa kama hili adhabu yake ni kukosa mechi 3...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment