Friday 8 April 2016

U.S. MASTERS 2016: JORDAN SPIETH AONGOZA WENZAKE


Bingwa mtetezi wa michuano mikali sana ya Masters inayoendelea huko Agusta Georgia Marekani yanaongozwa na bingwa mtetezi Jordan Spieth...Kwa sasa Spieth yuko -6 akifuatiwa na S. Lowry na D. Lee ambao wako -4...Bofya hapa upate habari.

No comments:

Post a Comment