Friday 22 April 2016

ARSENAL: WENGER AWAASI MASHABIKI KUJITOKEZA KUANGALIA MPIRA WA UKWELI


Baada ya mechi ya Arsenal na West Bromwich kumalizika ilionekana kuwa mashabiki wengi wamekacha game kwani matundu yalikuwa mengi maeneo ya kukaa...


Mashabiki wanamlalamikia Wenger na wengine wanataka aondoke kwa kushindwa kuwapa kombe muda mrefu...Wenger aliwaasa mashabiki wasi kimbie timu yao na wajitokeze kwa wingi kwani Arsenal inacheza mpira wa ukweli na safi...


Arsenal ilishinda mabao 2-0 dhidi ya West Brom na mabao yote yalitoka kwa Sanchez...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment