Saturday 23 April 2016

EPL: MANCHESTER CITY YASHINDA 4-0 DHIDI YA STOKE CITY


Manchester City wamewatoa Arsenal nafasi ya 3 na kukaa hapo baada ya kuichapa Stoke City 4-0...Mechi haikuwa na mvuto sana na Manchester City walikuwa na defense mbovu lakini pamoja na hayo waifanikiwa kuingiza mabao 4...


Bao la kwanza lilitoka kwa Fernando kupitia kichwa na la 2 lilitoka kwa Aguero dakika ya 43 kwa njia ya tuta na Iheanacho alitupia 2 kipindi cha 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment