Friday 15 April 2016

EUROPA LEAGUE 2016: LIVERPOOL KUKUTANA NA VILLARREAL NUSU FAINALI


Ratiba ya nusu fainali imetoka na Liverpool FC wamepangiwa kucheza na Villarreal CF wakati FC Shakhtar watachuana na mabingwa Sevilla FC.

Mechi ya kwanza ya Liverpool  itakuwa Spain tarehe 28 April na marudiano tarehe 5 May Anfield.

Fainali itafanyika Basel tarehe 18 May...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment