Showing posts with label Tottenham Hotspurs. Show all posts
Showing posts with label Tottenham Hotspurs. Show all posts

Saturday, 20 August 2016

SUNDERLAND: STEVEN PIENAAR KUTOKA SOUTH AFRICA


South African international midfielder Steven Pienaar ameingia Sunderland...Pienaar amewahi kuichezea Everton na Tottenham Hotspurs....Amecheza mechi 199 za premier league na kufunga mabao 20...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 8 August 2016

INTER MILAN: FRANK DE BOER KOCHA ACHUKUA NAFASI YA MANCINI


Inter Milan wameaachana na Roberto Mancini na sasa wameamua kumchukua boss wa Ajax wa zamani Frank de Boer...Mancini anaondoka kutokana na utata kwenye usajili wa wachezaji...Inter ambao wamenunuliwa na kampuni ya China ya Suning walichapwa 6-1 na Tottenham hivi karibuni kwenye mechi ya kirafiki...Bofya hapa upate habari zaidi.

Friday, 24 June 2016

VICTOR WANYAMA: TOTTENHAM WAMCHUKUA WANYAMA


Victor Wanyama amesaini mkataba na Tottenham wa miaka 5...Dau la Wanyama ni Pounds Milioni 11...Wanyama mwenye umri wa miaka 24 atakutana tena na kocha wake wa Saints, Mauricio Pochettino, ndani ya White Hart Lane...Wanyama amesema ni vigumu kuaga timu ambayo imempa nafasi mkeya wa kwanza kucheza Premier League...Bofya hapa upate habari zaidi.

TOTTENHAM HOTSPURS: WAZEE WA NORTH LONDON KARIBU KUNYAKUA WANYAMA


Tottenham bado wanaendela na mazungumzo na Southampton kuhusu Victor Wanyama...Du la Wanyama ni Pounds za Englang 11 milioni...Kenya International amebakiza mwaka 1 kwenye mkataba wake...Southampton walitoa Pound 12 milioni kumchukua Wanyama kutoka Celtic...Bofya hapa upate habari zaidi.

Friday, 20 May 2016

DAVID GINOLA: FRANCE INTERNATIONAL WA ZAMANI DAVID GINOLA AKIMBIZWA HOSPITALINI


David Ginola alianguka na kukimbizwa hospitalini kutokana na shinikizo la moyo...David Ginola alikuwa mchezaji hatari sana kwenye winga akiwa na timu ya taifa ya France na badae akachezea Paris Saint-Germain, Newcastle United, Tottenham, Aston Villa na Everton...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 19 May 2016

TOTTENHAM: ISLAM SLIMANI AWEKEWA DAU NA TOTTENHAM


Tottenham wako tayari kuweka dau la £23 milioni chini kumnyakuwa forward Islam Slimani kutoka Sporting Lisbon...Leicester nao wanamtaka Slimani na wameanza kumsaka lakini Slimani angependelea kwenda White Hart Lane huko Lorth London...Slimani alisaini mkataba mpya na Lisbon wa miaka 5 lakini katika mkataba wake kama mtu anataka kumchukua anaacha £23 milioni ubaoni...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 27 April 2016

DELE ALLI: DOGO WA TOTTENHAM DELE ALLI APATIKANA NA HATIA YA KUMPIGA MCHEZAJI UWANJANI


Football Association (FA) wamesema midfielder wa Tottenham Dele Alli amepatikana na hatia ya kumpiga ngumi mchezaji wa West Brom na hata refa hakuona tukio.

Monday, 11 April 2016

EPL: MANCHESTER UNITED HOI KWA TOTTENHAM


Manchester United wamechapwa 3-0 na Tottenham ndani ya White Hart Lane jana jioni...Tottenham bado wanandoto za mbali za kuchukua ubingwa lakini bado kazi ipo kwani Leicester wako points 7 mbele yao na bado mechi kama 5 vile...Dele Alli ndie aliye pachika bao la kwanza kipindi cha 2 akifuatiwa na kichwa cha Toby Alderweireld na bao la mwisho kutoka kwa Erik Lamela...Manchester United walijitahidi kidogo lakini baada ya dogo Timothy Fosu Mensah kujitahidi sana na badae kuumia ndipo mabao yalianza kumiminika...Mensah mwenye miaka 18 ndie aliyekuwa mchezaji bora Manchester akifuatiwa na Anthony Martial...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 10 September 2015

TOGO: ADEBAYOR THROWN OUT OF NATIONAL SQUAD


Emmanuel Adebayor, Tottenham Hotspurs player, has been booted out of his national team for being too snobbish.