Tuesday 3 November 2015

WORLD SERIES: KANSAS CITY ROYALS MABINGWA



Kansas City Royals wameshinda World Series kwenye mechi kali dhidi ya New York Mets kwenye mchezo maarufu sana Marekani wa Baseball...


Royals wamechukua ubingwa baada ya miaka 30 kwa kushinda 7-2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment