Thursday 12 November 2015

SQUASH: HATA UKIWA NA MIAKA 80 UNAWEZA KUCHEZA SQUASH


Squash ni mchezo ssafi sana kwa afya ya binadamu na unachezwa ndani ya kuta nne pamoja na racket na kipira kidogo...Mzee Kanali mstaafu Ameen Kashimiri aliamua kusherehekea miaka 80 ya maisha yake huku akicheza Squash pale Dar es Salaam Gymkhana Club...Mzee Kashimiri ni mchezaji wa Squash wa siku nyingi sana na pia amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tanzania Squash Racket Association nchini na Makamu Mwenyekiti wa Club ya Gymkhana...


Amesema kucheza Squash ni muhimu sana kwa afya yake na pia ameamua kusherehekea miaka 80 kuinyesha kuna maisha mbele ya miaka 80 ukifanya mazoezi mara kwa mara...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment