Monday 9 November 2015

NBA: KOBE AWIKA MADISON SQUARE GARDEN LAKINI WACHAPWA


Kobe Bryant alipiga game nzuri ndani ya Madison Square Garden huku akishangiliwa kila anaposhika mpira...LA Lakers walifungwa mwishoni na New York Knicks 99-95 baada ya Langston Galloway kupachika 3 pointer mwishoni...Inaonekana kama ni msimu wa mwisho wa Kobe lakini amesema hataki games ziwe kama anaaga rasmi mashindano ya NBA...New york wanampenda sana Kobe na wanakumbuka siku ya 2 ya February 2009 Kobe alipopachika points 61 dhidi ya hao hao Knicks...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment