Monday 16 November 2015

ATHLETICS DOPING SCANDAL: KENYA KUANZISHA KITENGO CHA KUZUIA MADAWA YA KUONGEZA NGUVU


Kutokana na report ya World Anti-Doping Agency ambayo inasema Kenya kuna tatizo kubwa la kutumia madawa ya kuongeza nguvu Serikali imesema itaanzaisha Agency ya kupambana na tatizo hilo...Report hiyo pia imeilaumu serikali ya Russia kwa kuchangia kwenye tatizo la madawa ya kuongeza nguvu...Kitengo hichi kipya kitapina na kufuata maagizo yote ya kuzuia na kupambana na madawa ya kuongeza nguvu...Kwa sasa wako wakenya 15 ambao wamefungiwa na IAAF kutokana na kutumia madawa ya kuongeza nguvu akiwemo bingwa mara 3 wa Bodton Marathon Rita Jeptoo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment