Wednesday 4 November 2015

CHAMPIONS LEAGUE: VAN GAAL AZOMEWA


Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal, alizomewa jana baada tu ya kumtoa Martial na kumuingiza Felaini...Mashabiki hawakubaliani na jinsi van Gaal anavyoendesha timu kwani sasa wanapata shida ya kupata mabao na pia maamuzi ya kuwabadilisha nafasi wachezaji mara kwa mara...Van Gaal amesema amesikia akizomewa lakini na mambo yatakuwa safi baada ya ushindi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment