Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Martial. Show all posts
Showing posts with label Martial. Show all posts
Thursday, 1 December 2016
EFL CUP: ANTHONY MARTIAL BACK ON POINT AS MANCHESTER HAMMER 4 PAST WEST HAM UNITED
Thursday, 18 February 2016
EPL: WAYNE ROONEY NJE WIKI 6
Wayne Rooney atakuwa nje kwa takriban wiki 6 kutokana na kuumia goti...Manchester United kazi iko ya kuziba pengo maana wanamuhitaji sana Rooney katika mbio za kumaliza nafasi nzuri EPL...Macho yote yako kwa dogo hatari sana Anthony Martial kuziba pengo akicheza kama striker...Martial anauwezo mkubwa kama striker na attacking midfielder...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 4 November 2015
CHAMPIONS LEAGUE: VAN GAAL AZOMEWA
Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal, alizomewa jana baada tu ya kumtoa Martial na kumuingiza Felaini...Mashabiki hawakubaliani na jinsi van Gaal anavyoendesha timu kwani sasa wanapata shida ya kupata mabao na pia maamuzi ya kuwabadilisha nafasi wachezaji mara kwa mara...Van Gaal amesema amesikia akizomewa lakini na mambo yatakuwa safi baada ya ushindi...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 20 September 2015
EPL: MARTIAL APACHIKA ZAKE 2 KATIKA USHINDI DHIDI YA SOUTHAMPTON
Anthony Martial ameanza vizuri baada ya kupata bao 2 katika game dhidi ya Southampton muda mfupi uliopita...Manchester walianza ovyo mwanzoni na walishambuliwa sana na pia walikuwa wakwanza kuchapwa lakini dogo Martial alikuja kusawaazisha...Man U walishinda 3-2 na wamshukuru sana huyo dogo mwenye umri wa miaka 19 tu aliyenunuliwa kwa bei mbaya kutoka Ufaransa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)



