Showing posts with label Rugby World Cup 2015. Show all posts
Showing posts with label Rugby World Cup 2015. Show all posts

Tuesday, 3 November 2015

RUGBY WORLD CUP 2015: SONNY BILL WILLIAMS AGAWA MEDANI YAKE KWA KIJANA



Center wa All Blacks ambae ameshinda medani ya 'World Cup winners medal', Sonny Bill Williams, aligawa medani yake kwa kijana aliyevamia uwanja na kukamatwa na askari...Kijana huyo aliingia uwanjani akimkimbilia Williams ndipo askari mlinda uwanja alipompiga ngwara na Williams akamtetea na kumzuia askari asimchukue na baada ya hapo alimwambia dogo ampeleke kwa wazazi wake na baada ya hapo akamvalisha huyo dogo medani yake...Williams badae alipewa medani nyingine...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday, 31 October 2015

RUGBY WORLD CUP 2015: ALL BLACKS WAKO TAYARI KUWEKA HISTORIA


Leo ni leo bingwa wa Rugby duniani atajulikana kwenye fainali ya Rugby World Cup 2015 kati ya New Zealand na Australia ndani ya Twickenhan...New Zealand wanataka kuwa timu pekee ambayo itakuwa imeshinda kombe la dunia mara 2...


Itakuwa mara ya kwanza All Blacks na Australia wanakutana kwenye fainali na ukizingatia All Blacks wamepoteza mechi 3 tu kati ya 53 toka wanyanyue Webb Ellis Cup mwaka 2011 mechi ya fainali itakuwa kali sana...


Usikose fainali hii ambayo itaanza kurushwa live kuanzia 16:00 GMT...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 20 October 2015

RUGBY WORLD CUP 2015: REFA ALIKOSEA KUTOA PENALTY YA SCOTLAND



Refa aliyesimamia mechi kati ya Australia na Scotland alikosea kutoa penalty mwishoni kabisa...World Rugby walisema refa huyo ambae ni Craig Joubert alikosea kutoa penalty na angetoa Scrum kwa Australia baada ya Nick Phipps kugusa mpira awali...Scotland walifungwa 35-34...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 8 October 2015

RUGBY WORLD CUP 2015: HABANA AFIKIA REKODI YA LOMU YA 15 TRIES


Bryan Habana amefikia rekoti ya kufunga ya Jonah Lomu ya tries 15...Habana aliweza kupata hat-trick kwenye game ambayo South Africa waliwagaragaza vibaya Marekani...Springbok sasa wanaongoza Pool B walikwa na points 16 wakufuatiwa na Scotland wenye points 10...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 4 October 2015

RUGBY WORLD CUP 2015: SOUTH AFRICA WANANGUVU KULIKO SCOTLAND


Timu ya taifa ya Raga ya South Africa au kwa jina maarufu sana Springboks sasa wanaongoza Pool B baada ya kuwachapa Scotland kirahisi mabao 34-16...JP Pietersen na Bismarck du Plessis walikuwa hatari sana na Boks walishambulia Scotland kama Simba...Bofya hapa upate habari zaidi.