Showing posts with label Jonah Lomu. Show all posts
Showing posts with label Jonah Lomu. Show all posts

Wednesday, 18 November 2015

RUGBY: JONAH LOMU WA ALL BLACKS AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 40



Mchezaji wa Rugby mkali sana wa timu ya New Zealand ya All Blacks, Jonah Lomu, amefariki dunia...Lomu alikuwa anasumbuliwa na tatizo la figo linaloitwa Nephrotic Syndrome...Aligundulika anatatizo hilo toka mwaka 1995 na akafanyiwa upasuaji kuweka figo nyingine mwaka 2004...


Lomu alikuwa mmoja wa wachezaji wakubwa sana wa All Blacks na alivunja rekodi nyingi tu...Mmoja ya rekodi ni kuongoza kwa kuwa na points nyingi kwenye Rugby World Cup na mwaka huu Bryan Habana aliweza kumfikia...



Rekodi nyingine ni mchezaji aliye kimbia meter nyingi kuliko wote kwenye mashindano ya kimataifa...Lomu alitumia meter 1,219...Pia aliingizwa kwenye list ya wachezaji bora duniani mwaka 2011...Pumzika kwa amani Lomu...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 8 October 2015

RUGBY WORLD CUP 2015: HABANA AFIKIA REKODI YA LOMU YA 15 TRIES


Bryan Habana amefikia rekoti ya kufunga ya Jonah Lomu ya tries 15...Habana aliweza kupata hat-trick kwenye game ambayo South Africa waliwagaragaza vibaya Marekani...Springbok sasa wanaongoza Pool B walikwa na points 16 wakufuatiwa na Scotland wenye points 10...Bofya hapa upate habari zaidi.