Showing posts with label IP Sports. Show all posts
Showing posts with label IP Sports. Show all posts

Monday, 30 November 2015

BEACH VOLLEYBALL: IP SPORTS MABINGWA


iP Sports wameibuka mabingwa wa Beach Volleyball katika michuano mikali iliyoandaliwa na Chama cha Volleyball Dar es Salaam (DAREVA)...iP wamefaniiwa kuwafunga wakongwe wa volleyball na hasa ukizingatia ni timu mpya lakini ina kiu ya ushindi...Katibu wa iP Sports amesema anawashukuru mashabiki kwani ndio waliowasukuma kufanya vizuri...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 6 September 2015

BEACH VOLLEYBALL LEAGUE: FURSA YA KUSOMEA UREFA


Referee Training for Beach Volleyball League.
Training Date:12-18 September 2015
Venue: Shule ya Uhuru Kariakoo

iP Sports Club ina nafasi 2 za members wa teams zetu kwenda kusomea Referee wa  Beach Volleyball ,training hii itawezesha muhudhuriaji kusimamia ligi ya mchangani ya Volleyball kwa mkoa wa Dar es salaam itayoanza hivi karibuni,lakini pia itampa mhusika nyenzo muhimu za kumfanya kuwa mwalimu wa mchezo husika.

Ueleze kwa ufupi kwa nini unataka kupewa nafasi ya kusomea u referees na kusoma kwako kutaisaidiaje club yetu katika mchezo wa Volleyball.

Nitumie Cv na maelezo yako kwenda:

iP Sports Club
P.O.Box 92
Dar es salaam. Email:info@matemabeachfestival.com
Tell:+255758484040