Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 12 August 2015
UEFA SUPER CUP: BARCELONA BINGWA
Barca wamefanikiwa kushinda Super Cup kwa mara ya 5 baada yakuwachapa Sevilla mabao 5-4...
Game ilikuwa kali sana na kuna kipindi Barca walikuwa mbele 4-1 lakini Sevilla walikuwa juu na kupata penalty...
Substitute Pedro ndie aliyewapa Barca ushindi dakika za nyongeza...Bofya hapa update habari zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment