Tuesday 4 August 2015

EPL: RAFAEL DA SILVA AINGIA LYON


Rafael da Silva ameingia Lyon kwa mkataba wa miaka 4 akitokea Manchester United...Rafael ambae anacheza nafasi ya beki wa kulia aliingia Old Trafford na pacha wake Fabio wakitokea Fluminence miaka 2008...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment