Wednesday 19 August 2015

CHELSEA: PEDRO KUINGIA DARAJANI


Winga hatari sana wa Barcelona yuko safarini kuingia jijini London kukamilisha usajili ndani ya Stamford Bridge...Pedro Rodriguez alitarajiwakunyakuliwa na Manchester United lakini tetesi zinasema hakufurahia jinsi Man U walivyomfanyia Victor Valdez...Pedro mwenye umri wa miaka 28 ametokea Academy ya Barca na toka aingie mwaka 2008 amefunga mabao 99 kataka mechi 326...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment