Sunday 1 June 2014

BOXING: CARL FROCH AMCHAPA GROVES



George Groves alisimamishwa round ya 8 mbele ya mashabiki 80,000 (haijawahi kutokea Uingereza) katika pambano kali la marudino...Sasa Froch ni bingwa wa mikanda ya WBA na IBF ya uzito wa middleweight...Hili pambano ni la marudino baada ya pambano la kwanza kuisha kwa malalamiko...


Froch alichapa sana Groves round ya 8 mpaka akaanguka na kuzimia kwa muda mfupi ndipo refa aliposimamisha pambano...Sasa Froch inasemekana atapambana na bingwa wa Olympics James DeGale...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment