Thursday 5 June 2014

WORLD CUP 2014: ENGLAND YASIMAMISHWA NA ECUADOR



Ecuador wameisimamisha England katika mechi kali ambayo tuliona kadi nyekundu 2 zikitolewa...Mechi iliisha 2-2...Defense ya England ilikuwa mbovu na Ecuador walichukua nafasi hiyo na kuachika bao mapema kutoka kwa Enna Valencia dakika ya 8....Lakini badae England walijipanga na Rooney akapachika bao dakika ya 29...Hili ni bao la 39 la Rooney kuifungia nchi yake...Lambert ambae amechukuliwa na Liverpool kwa pound za Uingereza milioni 4 aliwaweka England mbele kwa bao zuri dakika ya 51...Substitute Michael Arroyo alisawazisha kwa mkwaju mkali sana...


Oxlade-Chamberlaine aliumia goti na atahitaji kwenda hospitali akaangaliwe na wataalam...Kadi nyekundu zilitolewa na refa baada ya Sterling kumkwatua Valencia...Valencia alipewa kadi kutokana na jinsi alivyo lalamika....Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment