Monday 9 June 2014

WORLD CUP 2014: JAMAICA YALA KICHAPO KIKUBWA NA FRANCE

Karim Benzema akishangilia bao

Katika mechi za kupasha misuli na kujiweka tayari kwa World Cup ya mwaka huu ambayo itaanza siku 3 zijazo Jamaica imejikuta ikilambishwa magoli 8 na Ufaransa...Mtu wa kwanza kuona lango la Jamaica alikuwa Yahan Cabaye kutoka PSG ambaye alipokea pasi saafi kutoka kwa Olivier Girud wa Arsenal dakika kama ya 17 hivi...Kabla ya half-time Jamaica walikuwa chini mabao 3...Baada ya hapo ikaja mvua ya mabao tu....Ufaransa walisikitika mchezaji wao Mathieu Debuchy kuumia na inawezekana akakosa mechi ya ufunguzi...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment