Sunday 22 June 2014

BOXING: ROBERT "THE GHOST" GUERRERO AMTWANGA KAMEGAI KWA SHIDA




Robert "The Ghost" Guerrero amefanikiwa kumchapa Yoshihiro Kamegai huko Carson Marekani...


Haikuwa rahisi kama wadau wa boxing walivyo tegemea kwani Kamegai amefanikiwa kurusha makonde mazito ya mwili na pia alifanikiwa kumuumiza Guerrero jicho la kushoto mpaka likafunga.

Guerrero ana rekodi ya 32-2-1 na 18 KO's na ni bingwa wa WBC welterweight duniani pia amewahi kushinda mikanda mingi ikiwemo IBF super featherweight na WBA na WBO lightweight.

Guererro amekubali kwamba Kamegai ahisha amrejitahidi na kwkuwa alikuwa anataka kuwafumashabiki ndio maana Kamegai (24-2-1, 21 KO’s) alipata nafasi ya kubox vizuri.

Mwisho majaji walitoa score card ya 116-112, 117-111, na 117-111...

No comments:

Post a Comment