Tuesday 10 June 2014

EPL: ASTON VILLA YAMCHUKUA JOE COLE


Baada ya Aston Villa kumchukua beki wa zamani wa Arsenal Phillip Senderos sasa wanamchukua Joe Cole kwa free transfer na wanasubiri ushauri wa daktari...Joe Cole mwenye umri wa 32 ni midfielder mzuri na amechezea timu kubwa kama Liverpool, Chelsea na Lille kwa mkopo...Joe Cole anatarajiwa kuweka mambo sawa kwani midfield ya Aston Villa ilikuwa inapwaya...

No comments:

Post a Comment