Wednesday 11 June 2014

NBA: SAN ANTONIO WASHINDA GAME 3


Game 3 iliyoisha dakika chache zilizopita imechukuliwa na San Antonio Spurs 111-92...Toka kipindi cha kwanza Miani walikuwa nyuma kwa points mpaka mwisho wa game...Spurs leo wamevunja rekodi ya NBA ya Shooting Percentage ya 75.8% kipindi cha kwanza...


Pia Kawhi Leonard amepata career-high points 29...Miami leo wamekula vumbi  tu mpaka mwisho...LeBron James na Dwane Wade wote walipata points 22...

No comments:

Post a Comment